0
Hakuna maelewano mazuri kati ya Ben Pol na Alikiba? Kama ulipitia mitandaoni au ulisikia ishu ya Tweet ya Ben Pol aliyomzungumzia Alikiba na kila mtu alitafsiri kivyake.
Soudy Brown akaona amcheki Alikiba ambaye amesema yeye amechukulia poa post yaBen Pol kwa sababu yeye ni muungwana na anamtanguliza MUNGU mbele… hana ubaya wowote na Ben Pol.
Najiona nina mchango mkubwa kwenye Bongofleva na ni mmoja ya malegendary wakubwa ambao bado tupo kwenye muziki… Ben Pol sio rafiki lakini ni msanii mwenzangu na tunaheshimiana… tuko vizuri, sina mambo ya kuweka vitu rohoni‘- Alikiba
MillardAyo.

Post a Comment

(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-87191200-1', 'auto'); ga('send', 'pageview'); ga('set', 'userId', {{USER_ID}}); // Set the user ID using signed-in user_id.
 
Top