0
Nahodha msaidizi wa Manchester United, Michael Carrick amelalamika tuhuma kuwa hawachezi vizuri ili kulinda kibarua cha kocha wao
Nahodha msaidizi wa Manchester United, Michael Carrick
Nahodha msaidizi wa Manchester United, Michael Carrick amelalamika tuhuma kuwa hawachezi vizuri ili kulinda kibarua cha kocha wao.

Wachezaji wa Man United wamelaumiwa baada ya kupoteza michezo wanne mfululizo dhidi ya stoke city kwa kuchapwa mabo 2-0.

Nahodha huyu amesema Ni ukosefu wa nidhamu kusema wachezaji hawajitumi kadri ya uwezo wao kwa ajili ya kocha Luis Van Gaal, inaumiza sana sisi sio binadamu wa aina hiyo

Man United watashuka dimbani dhidi ya Chelsea katika mchezo unaofuta huku shinikizo kubwa likiwa kwa kocha wa kikosi hicho Luis Van Gaal

Post a Comment

(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-87191200-1', 'auto'); ga('send', 'pageview'); ga('set', 'userId', {{USER_ID}}); // Set the user ID using signed-in user_id.
 
Top