0
Kabla ya michuano ya mataifa ya Ulaya (EURO 2016) kuanza kuchezwa michuano hiyo kwa mwaka 2016 itakayo fanyika Ufaransa, baada ya timu ya taifa ya Uingereza kutangaza kikosi chake, Hispania wametangaza chao May 17 2016.

List ya majina ya wachezaji 25 walioitwas
Hispania wametangaza kikosi cha wachezaji 25 lakini kuna list ya majina ya wachezaji kama Fernando Torres, Juan Mata, Santi Cazorla wa Arsenal na Hector Bellerin wameachwa lakini walikuwa wanatarajiwa kuwepo katika list ya kikosi hicho cha kocha Vicente del Bosque.

Post a Comment

(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-87191200-1', 'auto'); ga('send', 'pageview'); ga('set', 'userId', {{USER_ID}}); // Set the user ID using signed-in user_id.
 
Top