0

 

 ERASTO MPETE AKIWA NA BANDA LAKE KATIKA UWANJA WA MPECHI SEKONDARI

 GARI LA MAZIWA YA ASAS NAYO YASHIRIKI MAONESHO YA MAADHIMSHO YA UHAMASISHAJI WA UNYWAJI MAZIWA NJOMBE SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA TBS HALIKUWA NYUMA KWENYE MAONESHO HAYO


 WANAFUNZI WA SHULE MBALIMBALI ZA MJI WA NJOMBE ILIZOSHIRIKI UZINDUZI WA WIKI YA UHAMASISHAJI WA UNYWAJI MAZIWA MKOA WA NJOMBE

 MAAFISA MASOKO WA SHIRIKA LA MAZIWA MKOA WA IRINGA NA NJOMBE ASAS
 MSAJILI WA BODI YA MAZIWA TANZANIA NELSON  KILANGOZI AKIWA KWENYE JUKWAA NA MGENI RASMI
 MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA TANZANIA AICHI KITALYI AKIWAKARIBISHA WAGENI KABLA YA HOTUBA YA MGENI RASMI
 KAIMU MWENYEKITI WA BARAZA LA MAZIWA TANZANIA MARK  TSOXO AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI HUO


 MGENI RASMI KWENYE UZINDUZI HUO KAIMU MKUU WA MKOA WA NJOMBE AMBAYE NI MKUU WA MKOA WA NJOMBE ANATORY CHOYA AKITOA HOTUBA YAKE KWENYE UWANJA VYA SHULE YA SEKONDARI MPECHI LEO


 WANAFUNZI WA SHULE MBALIMBALI  NA WASIYO WA SHULE WAKIFRAHIA KUNYWA MAZIWA
 MWENYEKITI WA BODI YA MAZIWA TANZANIA AICHI KITALYI

Post a Comment

(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-87191200-1', 'auto'); ga('send', 'pageview'); ga('set', 'userId', {{USER_ID}}); // Set the user ID using signed-in user_id.
 
Top