0
Rapper M-Rap amedai kuwa ameshindwa kuwa na uhusiano na msanii mwenzake.
13266680_856650161131187_2102238837_n
Rapper huyo alikuwa na uhusiano na muimbaji, Miss Rizy lakini tayari wameachana. Ameimbia Bongo5 kuwa sababu ya kuachana ni kushindwa kwenda sawa kwenye mstari mmoja.
“Nimeona bora niepuke hilo kabla haijawa kuwa hatari kubwa baadaye watu wakaja kusikia tunagombana kabisa ile, nimeona bora kila mtu sasa hivi afanye mambo yake,” amesema.
Hata hivyo kuhusu kazi amedai kuwa haijaathiri chochote kwakuwa wote wapo kwenye management moja, Mukii International. M-Rap na Miss Rizy waliwahi kufanya wimbo uitwao Hawajui.

Post a Comment

(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-87191200-1', 'auto'); ga('send', 'pageview'); ga('set', 'userId', {{USER_ID}}); // Set the user ID using signed-in user_id.
 
Top