0

Star wa RNB Bongo, Juma Jux, ameweka wazi nini atafanya endapo mpenzi wake wa zamani Jack ‘Cliff’ Patrick atamaliza kifungo nchini China, itakuwaje penzi lake na Mwanamuziki Vanessa Mdee.

Jux amesema ni kweli hawakuachana na Jack matatizo ndiyo yamewatenganisha lakini hawezi kurudiana nae kwa kuwa tayari yupo kwenye dimbwi la Mahaba na Vanessa.

“Ni kweli kapata matatizo, lakini mimi nimeshamove on nipo kwenye uhusiano na mtu mwingine, ni kijana mdogo acha tu niendelee na maisha yangu mengine” Amesema Jux.

Katika hatua nyingine msanii huyo amesema huwa anavipa nafasi vitu vyote anavyovifanya ndio maana hatetereki katika kujiongoza kwenye Muziki, Shule na Biashara.

Post a Comment

(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-87191200-1', 'auto'); ga('send', 'pageview'); ga('set', 'userId', {{USER_ID}}); // Set the user ID using signed-in user_id.
 
Top