0
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Dimani, Zanzibar, Juma Ali Juma ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi huo ambao umefanyika Jumapili ya Januari 22, 2016.
Juma ametangzwa na Msimamizi wa uchaguzi mdogo wilaya ya Magharibi B Unguja jimbo la Dimani, Fatma Gharib Haji kuwa mshindi kwa kupata kura 4,860 akimwacha kwa zaidi ya kura 2,000 mpinzani wake wa CUF, Abdullrazak Khatib Ramadhani ambaye amepata kura 1234.
Wagombea wengine katika uchaguzi huo wamepata kura kama inavyooonekana hapa chini;
Hamad Mussa Yusssuf (ACT) – kura 8
Issa Abdurahim Abdulkadir (ADC) – kura 42
Abdalla Kombo Khamis (Chauma) – kura 30
Magwira Peter Agathon (DP) – kura 8
Ali Khamis Abdalla (NRA) – kura 1
Amour Haji Ali (SAU) – kura 4
Pand Haji Pandu (TLP) – kura 2
Abdlsamad Salum Ali (UMD) – kura 2
Bakari Ali Omara (UPDP) – kura 1

Post a Comment

(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-87191200-1', 'auto'); ga('send', 'pageview'); ga('set', 'userId', {{USER_ID}}); // Set the user ID using signed-in user_id.
 
Top