0

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri akizindua Program hiyo ya Unywaji maziwa mashuleni kwa kuwapoa baadhi ya wanafunzi maziwa (NUNDU S/M NJOMBE)
kutokana na faida zitokanazo na unywaji wa maziwa kwa watoto hususani wanafunzi mashuleni mkuu wa wilaya ya Njombe mh.RUTH MSAFIRI, ameiagiza jamii kuunga mkono jitihada zinazofanywa na mashirika binafsi ili kupambana na tatizo la utapia mlo kwa watoto wadogo.

Akibainisha miongoni mwa  faida hizo mkuu huyo wa wilaya ya Njombe kwa niaba ya mkuu wa mkoa mh.CHRISTOPHER OLESENDEKA,katika uzinduzi wa mpango wa unywaji maziwa mashuleni uliofanyika katika shule ya msingi Nundu amesema.
Kwa kuona hilo meneja masoko kutoka bodi ya maziwa nchini Tanzania MAYASA SIMBA kwa niaba ya msajili wa bodi ameongeza kusema kuwa maziwa ni sehemu bora chakula kwa mtoto kutokana na viini lishe vilivyo ndani ya
Kwa upande wake meneja mradi wa EADD MARK TXOSO ameongeza kusema mradi huo umefika wakati mwafaka ambapo kuna uhitaji wa kujenga utamaduni wa kunywa maziwa ili kujenga umakini na umahili kwa wanafunzi.

ZACKARIA NGOLE ni mmoja wa wazazi walio hudhuria katika hafla ya uzinduzi huo ambapo kwa upande wake licha ya kupendezewa na mradi ameomba elimu iweze kuwafikia zaidi wazazi na walezi ambao wanajihusisha na ufugaji ili kuweza 

Habari Picha


 Baadhi ya wanafunzi wakifurahia unywaji maziwa Nundu









watoto walikunywa na kusaza huyo ni mmoja ya wagawaji wa maziwa wakisubiri wanafunzi waje zaidi kubeba maziwa ama hakika watoto walifurahi (mpango huu utasaidia)

Post a Comment

(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-87191200-1', 'auto'); ga('send', 'pageview'); ga('set', 'userId', {{USER_ID}}); // Set the user ID using signed-in user_id.
 
Top